
Verse 1: Kama ku hustle nahustle kila day, Najua safari siyo straight, imejaa relay, Mazingira magumu lakini siwezi sway, Nikiweka effort, lazima nipate pay. Mafanikio najenga, hayaji tu kwa bahati, Malengo nalenga, macho yako kwa mbali, Wale wanaochonga, mi siwasikii, Life kama game, naicheza bila wasi. Chorus: Good time, acha nile good time, Acha nile good time, acha nile good time, Acha nile good time, acha nile good time, Acha nile good time, acha nile good time. Heey! Kama ku hustle nahustle kila day, Ila najirusha nikipata pay, Malengo nalenga tena sikosei, Life kama game mi mwenyewe nazidi kuplay! Verse 2: Mikakati nayo safi, najua njia ni moja, Nikipata riziki, siwezi weka kando fora, Vikwazo nazipita, nguvu naziongeza, Siku za struggle, sasa zinaanza kumea. Maisha yangu naishi, siwezi vunjika moyo, Namshukuru Mungu, ndiye anayetoa kibali, Marafiki wa kweli, pamoja tunashikamana, Na hata kwa giza, matumaini hayajazimika. Chorus: Good time, acha nile good time, Acha nile good time, acha nile good time, Acha nile good time, acha nile good time, Acha nile good time, acha nile good time. Heey! Kama ku hustle nahustle kila day, Ila najirusha nikipata pay, Malengo nalenga tena sikosei, Life kama game mi mwenyewe nazidi kuplay!

