
Nakumbuka ahadi ukisema utoniacha. (Aaah) Moyo wangu. kwako ulishadata Mi nilisubiri. Unizalie mapacha. (Aaah) Kumbe boy. We ulishapata Ukanitukana mimi ju sina mali Ukaamua kuniacha uende mbali Mi nakuombea huko ugongwe na gari Upatwe ukichiti upigwe matofali

