Song Cover Image

106.5s Recording (30 Aug @ 21:27) (Remix)

[Intro] [acoustic guitar rhythm, steady kick drum, shaker] [Chorus] [male group vocals] Hakuna mambo mbaya kwa Mungu, hakuna mbaya kwa Mungu Hakuna mambo mbaya kwa Mungu, hakuna mbaya kwa Mungu Hakuna mambo mbaya kwa Mungu (mm-mm) Hakuna mambo mbaya kwa Mungu (mm-mm) Hakuna mambo mbaya kwa Mungu, hakuna mbaya kwa Mungu Hakuna mambo mbaya kwa Mungu, hakuna mbaya kwa Mungu Hakuna mambo mbaya kwa Mungu (mm-mm) Hakuna mambo mbaya kwa Mungu (mm-mm) [Verse 1] [male solo vocal] Nimekumbuka siku ile, nilikuwa wakati gerezani Afande alikuja kwangu pole, alisema hii ndio ya mwisho Tunataka tuchukue wewe, kwa koti wakate kwako kesi Mi naanza kusikia roho yangu, ikikimbia Nimepiga magoti yangu chini niombe, Mwenyezi Mungu Ndiye akuje, akae kwa uzima yangu Kwa juu ndio uzima yetu (mm-mm) Kwa juu ndio chakula yetu (mm-mm) Kwa juu ndio uzima yetu, jina lake tufuate yeye [Chorus] [male group vocals] Hakuna mambo mbaya kwa Mungu, hakuna mbaya kwa Mungu Hakuna mambo mbaya kwa Mungu, hakuna mbaya kwa Mungu Hakuna mambo mbaya kwa Mungu (mm-mm) Hakuna mambo mbaya kwa Mungu (mm-mm) [Outro] [male solo vocal] Kama mtu anadai wewe, asitoe wewe kwa barabara